madhara ya kufirana [kinyume na maumbile]

unaliwa tigo na mwenza wako au unamawazo ya kula tigo (kufanya mapenzi matakoni), basi soma hapa
Kama kawaida yetu kikundi cha Mdadisi MAMBO kinaendelea kutoa elimu ya bure ili mtu yakimkuta ajue yamempata kwa kiburi chake na kwa kupenda starehe ya kipuuzi.
Madhara yatokanayo na kufanya mapenzi kinyume na maumbile
1. La kwanza kabisa Mungu halipendi na analichukia jmbo hilo, ukimougopa Mungu kwanza si dhani kama utalifanya tena jambo la kugawa au kuingiza uume wako tigoni
2. Kutokwa na damu kufuatia kuchanika kwa ngozi laini ya mkundu (wa ukuta / bitana inaweza Sila na uharibifu kwa urahisi kutokana na yakikwaruza).
3. Hakuna sehemu nyingine katika mwili yenye vimelea (bakteria) kuzidi mkundu. Ni rahisi kuambikwa ugonjwa kama UTI (Urinary Tract magonjwa), pia magonjwa ya ngono, kama VVU, malengelenge, na magonjwa mengine.
4. Kuwashwa na kuchubuka ngozi ya uume, kutokana na mkundu kutokuwa na majimaji.
5. Kulegeza misuli ya mkundu na kula tendo linapofanyika ndipo misuli ya mkundu inapolegea zaidi.
6. Kansa ya njia ya haja kubwa (colony cancer)
7. Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland)
8. Kuongeza hatari ya maambukizi ya VVU kwa wale wanaotoka nje ya ndoa, na magonjwa mengine.
9. Kupanuka na kusababisha kutokwa na haja kubwa pindi mwanamke anapotaka kuzaa
10. Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.
11. Kuharisha
12. Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.
13. Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.
Usijidanganye kwa kusema utatumia Condom, madhara yatakuwepo palepale tu, njia salama kwa wewe ni kusema hapana tena hapana kwani, siku zote usikubali kujiumiza ili yeye apafurahie hayo sio mapenzi ila ni kuumizana, mapenzi siku zote ni furaha na kusikilizana
Kama mshauri na mtoa huduma ya afya, siwezi kupendekeza aina hii ya ngono. Madhara yake ni makubwa na yanaweza kumsababishia mkeo matatizo makubwa zaidi. Hivyo basi kwa nini kutafuta raha toka shimo la tatu wakati unajua unahatarisha afya ya mkeo na yako pia. Kuzingatia kuwa katika afya na hali njema kimwili ni utajiri. Kumbuka kuwa baadhi ya matatizo yanayotokana na ufiraji hayana tiba na hivyo mtu atateseka maisha yake yote.
Sijawahi kufira katika maisha yangu, nina maadili yangu na kumthamini mwenzangu. Unapohitaji kupata utamu wa ngono tumia njia ya asli. Hata kama mkeo atakusihi, kumkubalia sio kumpenda – ni KUMHARIBU.
Tunakuomba ndugu mdau wetu hii sio ya kuacha kushare kwani jamii imeharibika na share ili tupate moyo wa kuzidi kukaa chini na kutafuta vitu vizuri zaidi kwa ajili yako

Chapisha Maoni

0 Maoni